Skip to main content
Skip to main content

Wakulima wa miwa kutoka Awendo kaunti ya Migori watishia kuacha kazi iwapo hawatalipwa

  • | Citizen TV
    72 views
    Duration: 1:39
    Wakulima wa miwa kutoka Awendo kaunti ya Migori wametishia kusitisha shughuli katika Kampuni ya Sukari ya Sony iwapo deni la shilingi milioni 185 halitalipwa.