Wakulima wa miwa walalamikia miwa ya kiwanda cha Nzoia kupelekwa kwingine

  • | West TV
    51 views
    Wakulima wa miwa wametatiza shughuli za usafiri na biashara katika eneo la Bukembe kaunti ya Bungoma wakiandamana kulalamikia kupelekwa kwa miwa ya kiwanda cha kusaga sukari cha Nzoia kwa viwanda vingine wakidai kuwa ni njia moja ya kusambaratisha kiwanda hicho.