Wakulima wa Trans-Nzoia walalamikia bei chini ya mahindi

  • | Citizen TV
    29 views

    Wakulima wanalalamikia kukwama na mazao yao ya mahindi baada ya bodi ya nafaka na mazao NCPB kukosa kununua mahindi yao. Katika baadhi ya sehemu za Trans Nzoia, baadhi ya wakulima wamelazimika kuuza mahindi yao kwa shilingi 3,500 kwa gunia la kilo 90 kutoka kwa shilingi 6,500 kama ilivyo kawaida. Na kama Collins Shitiabayi anavyoarifu, wakulima sasa wanakodolea macho hasara endapo NCPB haitaanza kununua mahindi yao au hata kupata sehemu za kuyahifadhi

    gun