Wakulima wahudhuria maonyesho ya mbegu za kiasili Nyando

  • | Citizen TV
    164 views

    Zaidi ya wakulima elfu mbili kutoka pembe zote nchini wanakongamana katika eneo la Nyando kaunti ya Kisumu, kwa maonyesho ya mbegu na vyakula vya kiasili. Kongamano hilo la siku mbili linanuia kujadili masuala ya mbegu za kiasili zinazostahimili mabadiliko ya tabianchi na wadudu, pamoja na manufaa yazo ya virutubishi.