Wakulima wakadiria hasara baada ya tumbili kuharibu mimea

  • | Citizen TV
    1,193 views

    Wakaazi wa kijiji cha Limtidi eneo la Koru kaunti ya Kisumu wanakadiria hasara kubwa baada ya mashamba yao kuvamiwa na tumbili.