21 Jul 2026 11:14 am | Citizen TV 118 views Duration: 2:15 Wakuu wa Shule za sekondari katika kaunti ndogo ya uriri kaunti ya Migori, wazindua mchakato ya kukuza talanta za wanafunzi kama njia mojawapo ya kulemaza mienendo potovu baina ya wanafunzi na kuimarisha talanta.