Skip to main content
Skip to main content

Walaghai wapora mamilioni ya dola zilizokusanywa kutibu watoto wenye saratani-#bbcafricaeye

  • | BBC Swahili
    8,236 views
    Duration: 1:55
    Upekuzi wa BBC wafichua, watoto wenye saratani waliibiwa mamilioni ya pesa zilizokusanywa kutoka kwa wahisani kugharamia matibabu yao. Wengine walifariki bila kupokea mgao wao... - - - #bbcswahili #foryou #wanawake #afya #watoto Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw