Walanguzi wa siafu wahukumiwa Kenya

  • | BBC Swahili
    5,713 views
    Mahakama nchini Kenya imewahukumu watu wanne kwa ulanguzi wa siafu – wawili wakiwa ni raia wa Ubelgiji, mkenya mmoja na raia mmoja wa Vietnam. Wanne hao wametozwa faini ya shilingi milioni moja za Kenya kwa kila mmoja au kifungo cha mwaka mmoja gerezani. Je, siafu hawa wana umuhimu gani na kwa nini usafirishaji wa wadudu ni kinyume cha sheria? Jiunge na Hamida Abubakar katika dira ya dunia TV mubashara kwenye ukurasa wetu wa YouTube wa BBCswahili. #bbcswahili #dirayadunia #kenya Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw