- 264 viewsDuration: 1:29Viongozi wa jumuiya ya walemavu katika Kaunti ya Wajir wanaitaka serikali kuongeza uwakilishi wao katika nafasi za ajira na siasa. Akizungumza katika kikao na Jumuiya ya walemavu, Mwenyekiti wa walemavu wa kaskazini ya kenya Hafid Maalim brahim, alilalamikia ukosefu wa wakalimani wa lugha ya ishara pamoja na changamoto za ajira kwa watu wenye ulemavu waliohitimu.