Walemavu kaunti ya Nandi wadai kutosajiliwa kwenye Inua Jamii

  • | Citizen TV
    254 views

    Watu wanoishi na ulemavu kaunti ya Nandi wanalalamikia kubaguliwa kwenye mpango wa inua jamii.Watu hao wanasema kuwa serikali imekosa kushughulikia walemavu wote licha ya idadi ya watu wanoishi na ulemavu kuwa kubwa humu nchini .Wakiongozwa na mwakilishi wao Kaunti ya Nandi Cosmas Kipchumba,watu hao wanataka Serikali kuwasajili walemavu wote Ili kunufaika na mpango wa inua jamii jinsi wazee wanavofanyiwa