Skip to main content
Skip to main content

Walezi wa walemavu wanakabiliwa na matatizo mengi Busia

  • | Citizen TV
    478 views
    Duration: 3:15
    Walezi na wazazi wa watu wanaoishi na changamoto za ulemavu wakiwemo wazee katika katika kaunti ya Busia wamelalamikia kupuuzwa na jamii na kuachiwa mzigo wa elimu na malezi ya watu hao wenye mahitaji maalum. Walezi hao wamesikitika kuwa kwa muda mrefu, walemavu wamedharauliwa na kutengwa licha ya katiba kuwatambua na hata kutenga fedha za kuwasitiri maishani