13 Oct 2025 10:10 am | Citizen TV 3,428 views Duration: 1:41 Mamia ya walimu pamoja na wahudumu wa boda boda mjini Garissa wameandamana kukashifu mauaji ya mwalimu mmoja katika kituo cha biashara cha Bula Mzuri viungani mwa mji huo.