Skip to main content
Skip to main content

Walimu wa JSS Embu waandamana wakitaka kandarasi

  • | Citizen TV
    68 views
    Duration: 1:50
    Walimu wa Shule za Sekondari Msingi katika Kaunti ya Embu wameandamana kupinga kucheleweshwa kwa kandarasi zao za kazi, wakieleza wasiwasi kuhusu kile walichokitaja kama kuingiliwa kisiasa kwa majukumu ya Tume ya kuwaajiri waalimu TSC Walimu hao walionya dhidi ya kuingiza siasa katika mchakato wa uajiri wa kudumu wakisisitiza kuwa jukumu la kutoa barua za uthibitisho linapaswa kusalia na TSC. Katika Kaunti ya Embu, walimu 709 wanasema wamehudumu kwa miaka miwili bila kuthibitishwa rasmi, huku wakiendelea kubeba majukumu kamili ya kufundisha.