22 Sep 2025 1:22 pm | NTV Video 156 views Duration: 2:15 Walimu wa shule za sekondari msingi, JSS, kutoka kaunti ya Kwale wanataka kupewa uhuru wa kujisimamia, wakitishia kushiriki mgomo na kusambaratisha shughuli za masomo.