- 108 viewsDuration: 3:16Walimu wa sekondari msingi kutoka Kaunti ya Samburu, wametoa wito Kwa jopo kazi lililoteuliwa na Rais William Ruto, Kushughulikia mageuzi ya elimu nchini, kuzamia upya swala tata la ujumuishaji wa sekondari msingi katika shule za msingi na badala yake kuwaezesha kujisimamia wenyewe.