Walimu wa JSS wasisitiza mgomo unaendelea

  • | KBC Video
    22 views

    Walimu wa shule za sekondari msingi-JSS kote nchini wanashikilia kuwa hawatababaishwa na vitisho vya kuwataka wasitishe migomo yao. Walimu hao wanaoshinikiza kuajiriwa kwa masharti ya kudumu wanataja uamuzi wa mahakama kutatua mizozo ya ajira uliounga mkono matakwa yao na sasa wanatoa wito kwa viongozi nwa kidini na wanasiasa kuingilia kati suala hilo baada ya tume ya TSC kukataa kushughulikia matakwa yao.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive