Walimu wa KUPPET wafunga shule ya sekondari Kanduyi, Bungoma

  • | Citizen TV
    414 views

    Licha ya agizo la mahakama Kuu kusitisha mgomo wa walimu wa kuppet nchini, walimu wameendelea na mgomo wao katika kaunti ya Bungoma.