- 185 viewsDuration: 1:45Baadhi ya walimu wanachama wa muungano wa KUPPET tawi la Nyamira, wanadai kuwa baadhi ya walimu wakuu kuwashurutisha walimu kuwapiga kura wanaowania viti katika chama hicho kwa misingi ya maeneo wanayotoka.Walimu hao wametoa makataa kwa wanaopanga kuhitilafiana na uchaguzi huo, wakitaka kampeni na uchaguzi wa amani.