22 Sep 2025 1:24 pm | NTV Video 87 views Duration: 1:35 Walimu wa shule za JSS katika kaunti ya Makueni sasa wanaitaka serikali kurekebisha haraka muundo wao ili kutenganisha shughuli zao na zile za shule za msingi.