21 Feb 2026 7:47 pm | Citizen TV 422 views Duration: 1:38 Walimu wanaofunza watoto wenye mahitaji maalumu wamekusanyika likoni Mombasa kwa warsha ya tatu ya mafunzo ya kitaifa, iliyoandaliwa na chama cha michezo kwa wasioweza kuona na wizara ya elimu.