2 Dec 2025 1:55 pm | Citizen TV 3,691 views Duration: 1:15 Walimu wakuu wa shule za msingi waliofanikisha matokeo bora ya mitihani katika eneo bunge la Kiharu kaunti ya Murang'a, wametunzwa kwa kulipiwa safari ya kuzuru Dubai kama njia moja ya kuwapa motisha .