- 60 viewsDuration: 1:42Walimu zaidi ya 100 katika kaunti ya Busia wamepokea mafunzo kuhusu ujumuishaji wa Akili Mnemba kwenye masomo ili kulainisha maandalizi ya shughuli za darasani na kukidhi hitaji la wanafunzi chini ya mtaala wa elimu ya umilisi. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive