Walimu washiriki mgomo katika kaunti ya Samburu

  • | Citizen TV
    235 views

    Licha ya agizo la mahakama la hapo Jana kupiga breki mgomo wa walimu Kwa muda Hadi pale kesi iliyowasilishwa na tume ya kuwajiri walimu nchini TSC itakaposikizwa, walimu wanachama wa KUPPET tawi la Samburu wamejiunga na walimu wenzao kote nchini ksuhiriki mgomo.