Skip to main content
Skip to main content

Walimu watishia kugoma wakilalamikia bima ya SHA

  • | Citizen TV
    736 views
    Duration: 3:44
    Huenda masomo yakatatizika wiki ijayo, baada ya muungano wa walimu wa shule za upili na vyuo kuppet kutishia mgomo wa kitaifa kulalamikia bima ya afya ya sha na uajiri wa walimu. Kuppet kwa muda sasa imekuwa ikilalamikia mapungufu katika bima ya sha. Lakini kama ben kirui anavyoarifu, serikali imeonekana kuzima hofu na lawama kuwa mfumo huo hautafaulu.