'Walininyooshea bunduki na kuniamuru nilale kitandani' - Ukatili Sudan

  • | BBC Swahili
    565 views
    Makumi ya wanawake wamekuwa wakiripoti matukio ya ubakaji na unyanyasaji wa kingono kote nchini Sudan tangu mzozo kati ya jeshi la Sudan na Kikosi cha Wanamgambo cha (RSF) ulipozuka mwezi Aprili. Taarifa ya pamoja iliyochapishwa mwezi Julai na mashirika mbalimbali ya Umoja wa Mataifa ilisema kwamba unyanyasaji wa kingono unatumika "kama mbinu ya vita kuwatia watu hofu". BBC imeongea na wanawake kadhaa ambao wanasema walibakwa na wanajeshi wa RSF. #bbcswahili #sudan #RSF