Skip to main content
Skip to main content

Walinzi wa Gavana wa Trans Nzoia George Natembeya waliondolewa

  • | Citizen TV
    31,958 views
    Duration: 1:37
    Walinzi wa gavana wa trans nzoia George Natembeya waliondolewa . kulingana na waziri wa usalam Kipchumba Murkomen , polisi hao wanatuhumiwa kushirikiana na wahuni na iwapo watapatikana na hatia watafutwa kazi.Hatua hii imechukuliwa siku tatu baada ya msafara wa gavana Natembeya kuvamiwa na wahuni katika wadi ya Chwele Kabuchai kaunti ya Bungoma.