Walinzi wa Mguga waadhimisha siku ya Kimataifa

  • | Citizen TV
    51 views

    Siku ya kuwakumbuka walinda misitu nchini inapoadhimishwa, maafisa wa kulinda misitu wanatoa wito kwa kina dada kujitokeza kwa wingi na kujiunga nao, kwani idadi ya wanawake walio katika taaluma hii bado ni ndogo.