- 10,701 viewsDuration: 33sTazama walinzi wa pwani walivyosaidia kuokoa gari la kusambaza mizigo baada ya dereva wa Amazon kunasa katika tope kufuatia njia ya GPS kumpeleka hadi Kisiwa cha Foulness. Video inaonyesha kifaa cha kunyanyua mizigo (telehandler) kikinyanyua gari hilo hadi urefu wa mita 4.5 (futi 15) kisha kukipeleka hadi kwenye ardhi imara. Amazon imethibitisha kuwa inachunguza tukio hilo. #bbcswahili #teknolojia #amazon Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw