Walioathirika na uvamizi wa nzige Samburu, wapokea msaada

  • | Citizen TV
    181 views

    Ni afueni kwa wafugaji walioathirika na nzige kaunti ya Samburu baada ya ufadhili kutolewa kuwasaidia kuendeleza ufugaji. Nzige walivamia malisho ya mifugo na kuwaacha wafugaji wengi wakihangaika ktafuta lishe kwa mifugo wao.