Waliopoteza stakabadhi zao Ngutu wanufaika

  • | KBC Video
    2 views

    Watu walioachwa bila makazi kufuatia maporomoko ya ardhi pamoja na wakazi wa eneo la Ngutu huko Mathioya wamenufaika kutokana na huduma zilizotolewa kwao Mashinani. Shughuli hiyo iliongozwa na mhisani Stanley Kamau wa kundi la Ahadi Kenya ambapo wakazi hao walipokea stakabadhi mpya zikiwemo vitambulisho vya kitaifa na vyeti vya kuzaliwa vilivyopotea wakati wa maporomoko hayo. Aidha, wakazi wakazi hao walinufaika na huduma nyingine ambazo hawangeweza kupata kutoka kituo cha Huduma mjini Murang’a.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive