Licha ya kuimarika kwa hali ya usalama huko Jamhuri ya Afrika ya Kati, nchi hiyo bado ni miongoni mwa nchi yenye mazingira mabaya zaidi duniani kwa watoto.
Kwa mujibu wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF, mtoto mmoja kati ya wawili wanakosa huduma za afya.
Na changamoto kuu ni kuunganishwa tena katika jamii ya watoto wenye majeraha ya kihisia na kisaikolojia ambao walilazimishwa kuingia katika vikundi vya mapigano katika vita.
#bbcswahili #Afrikayakati #CAR
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
18 Aug 2025
- Health Cabinet Secretary (CS) Aden Duale has announced plans to set up a joint committee with the CEOs of insurance companies across the country to tackle fraudulent activities that have been plaguing the Social Health Authority (SHA).
18 Aug 2025
- President William Ruto has vowed to ensure that Members of Parliament and Senators behind an extortion scheme called soko huru are apprehended.
18 Aug 2025
- The death toll from a blast at a gunpowder plant near Moscow rose to 20, with more than 100 wounded, the authorities said on Monday, as a probe began into possible industrial safety violations.