Waluke ajiuzulu | Mbinge wa Sirisia ajisalimisha mahakama Milimani

  • | KBC Video
    119 views

    Mbunge wa Sirisia John Waluke leo alijisalimisha katika mahakama ya Milimani baada ya jaji wa maakama kuu Esther Maina kudumisha kifungo chake cha miaka 67 gerezani kwa madai ya kuilaghai halmashauri ya nafaka na mazao shilingi milioni 313. Mbunge huyo alikuwa amehukumiwa kutumikia kifungo hicho au kulipa faini ya shilingi bilioni moja.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #mahakamani #News