Skip to main content
Skip to main content

Wamuthende apata afueni baada ya mahakama Embu kutupilia mbali rufaa ya kupinga kuchaguliwa kwake

  • | KBC Video
    513 views
    Duration: 3:40
    Mbunge wa Mbeere kaskazini Leo Wamuthende Njeru amepata afueni ya muda baada ya mahakama kuu mjini Embu kutupilia mbali rufaa ya kupinga kuchaguliwa kwake. Jaji wa mahakama kuu Richard Mwongo alisema walalamishi walishindwa kuweka amana iliyohitajika ya gharama ya kesi kuambatana na kipengee cha 78 cha sheria ya uchaguzi. Haya yanawadia huku kundi la wawakilishi wadi katika kaunti ya Busia likiridhia uteuzi wa Catherine Omanyo kuwa kaimu katibu mkuu wa chama cha ODM. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive