Wana mazingira na wadau wa elimu wapigia debe mpango

  • | Citizen TV
    99 views

    Wanamazingira na wadau wa elimu kaunti ya Homa Bay wameanza mchakato wa kuelimisha shule mbali mbali hasa za mashinani kutumia kawi ya mvuke ili kuzuia athari za uchafuzi wa mazingira inayosababishwa na utumizi wa kuni.