Skip to main content
Skip to main content

Wanaanga warejea leo, je kuna vikwazo vyovyote?

  • | BBC Swahili
    43,358 views
    Duration: 1:32
    Wana anga wa Artemis waliosafiri umbali mrefu zaidi kutoka duniani kuliko binadamu yeyote kabla yao wanarejea leo nyumbani. Hata hivyo, safari yao ya kurudi imejaa hatari. Hivi ndivyo itakavyokuwa; Mwandishi wa BBC @sarafinarobi na taarifa zaidi; #bbcswahili #foryou #fyppppppppppppppppppppppp #artemis #kenyantiktok🇰🇪 Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw