Wanachama wa kundi la kiloriti kaunti ya Samburu waandamana

  • | Citizen TV
    140 views

    Wanachama wa kundi la kiloriti katika kata ya baawa Samburu magharibi,limeshiriki maandamano kuishinikiza wizara ya ardhi katika kaunti ya Samburu kutatua mzozo wa ardhi ya Kiloriti baawa iliyotengwa Kwa minajili ya kufanikisha ujenzi wa mji mdogo wa kisima. Mwanahabari wetu Bonface Barasa anaarifu zaidi kutoka Samburu.