Wanachama wa ODM kutoka Turkana washerekea siku ya kuzaliwa ya Raila

  • | Citizen TV
    1,252 views

    Wafuasi pamoja na viongozi wa chama cha ODM tawi la Turkana wamekongamana katika ofisi za chungwa mjini Lodwar kusherehekea siku ya kuzaliwa ya kiongozi wa upinzani Raila Amollo Odinga ambaye amehitimu miaka themanini sasa.