Wanachama wa ODM wataka viti vya wabunge waliofurushwa kutangazwa wazi

  • | Citizen TV
    913 views

    Siku mbili baada ya baraza kuu la chama cha ODM kutangaza kuanza mchakato wa kuwaondoa kwenye sajili ya chama hicho wabunge na maseneta wanaoonekana kuwa waasi, baaadhi ya wafuasi wa chungwa katika eneo bunge la Bondo sasa wanataka mchakato huo kuharakishwa na nafasi ya ubunge eneo hilo, inashikiliwa na Gideon Ochanda, kutangaza kuwa wazi.