22 Oct 2025 10:37 am | Citizen TV 199 views Duration: 2:02 Ni afueni kwa wanachama wa shamba la Kijamii la Kishushe kaunti ya Taita Taveta baada ya viongozi wapya kuchaguliwa ili kutuliza migogoro ya mara kwa mara ambayo imekumba shamba hilo kwa muda mrefu.