Skip to main content
Skip to main content

Wanachama wa shirika la kahawa Kiungani waandamana

  • | Citizen TV
    252 views
    Duration: 1:46
    Wakulima wa kahawa katika eneo la Kiungani, Kaunti ya Trans Nzoia, wameandamana wakishinikiza serikali ya kaunti kumaliza mzozo wa shirika la wakulima wa kahawa ambao umedumu kwa zaidi ya miaka 29 sasa.