Skip to main content
Skip to main content

Wanachama wa Vikundi zaidi ya 400 katika kaunti ya Tana River wamepokea pembejeo za kilimo

  • | Citizen TV
    188 views
    Duration: 1:30
    Wanachama wa Vikundi zaidi ya 400 katika kaunti ya Tana River wamepokea pembejeo za kilimo kutoka serikali ya kaunti hiyo ili kuongeza uzalishaji wa chakula hasa wakati huu wa msimu wa mvua.