6 Jan 2026 1:06 pm | Citizen TV 9,675 views Duration: 34s Wanafunzi 10 kutoka shule ya Bishop Okoth wamepata majeraha madogo baada ya basi walilokuwa wakisafiria kupoteza mwelekeo na kupata ajali katika eneo la Kimende. Basi hilo lilikuwa limewabeba wanafunzi 45.