- 174 viewsDuration: 1:53Na huku shule zikitarajiwa kufunguliwa kwa muhula wa Pili, wanafunzi 110 wa Vyuo vikuu na sekondari kutoka Kijiji cha Ilkiloriti, kaunti ya Kajiado ambao wanatokea jamii maskini wamepata afueni baada ya Jamii la eneo hilo kuchanga shilingi million moja kugharamia karo yao.