- 645 viewsDuration: 3:31Zaidi ya wanafunzi 30 katika mtaa wa Mukuru hapa Nairobi wameshindwa kuripoti katika shule za sekondari ya juu, takriban mwezi mmoja baada ya wenzao kuanza masomo. Baadhi ya wazazi wa wanafunzi hawa wa gredi ya 10 wakidai kurudishwa nyumbani licha ya Rais William Ruto kutoa amri kwa wasimamizi wa shule kutowafungia nje wanafunzi ambao hawana karo wala SarÄ™.