Wanafunzi ishirini na wawili kutoka kaunti ya Uasin Gishu wasafiri kuelekea Finland

  • | K24 Video
    309 views

    Wanafunzi ishirini na wawili kutoka kaunti ya Uasin Gishu wanasafiri kuelekea Finland kwa masomo katikati mwa vuta ni kuvute inayotokota ya sakata ya masomo hayo .kulingana na kundi hilo linalosafiri walikuwa kati ya wale waliotakikana kusafiri mwaka jana ila vuta ni kuvute ilizuka walipoombwa kuongeza fedha zaidi ya zile walizoto wameitikai wito wa kuongeza fedha hizo ilikuafiki ndoto zao kupitia masomo hayo…