Wanafunzi Kajiado wapata mafunzo kuhusu mazingira

  • | Citizen TV
    67 views

    Wanafunzi wa shule ya wavulana ya Mashuuru kaunti ya Kajiado wamenufaika na mafunzo yautunzaji wa mazingira na kuwahifadhi wanyamapori kupitia mitandaoni. Mafunzo hayo ambayo yalikuwa yakipokelewa sambamba na wanafuzni kutoka Kenya,Afrika Kusini, na Scotland yalilenga kuwahimiza wanafunzi kujihusisha na miradi ya kutunza mazingira. Robert Masai na Mengi zaidi.