30 Sep 2025 10:12 am | Citizen TV 3,796 views Duration: 1:44 Wanafunzi wa shule ya upili ya Litein kwa mara nyingine tena wamerejeshwa nyumbani baada ya kuonyesha ishara ya kuleta vurugu walipogundua kuwa mwalimu mkuu wa shule hiyo bado yupo.