Wanafunzi kutoka kaunti ya Samburu waliofanya vyema kwenye mashindano ya muziki wa kitaifa wasifiwa

  • | Citizen TV
    142 views

    Shangwe za vifijo zilishamiri katika mji wa Maralal kaunti ya Samburu kusherehekea ushindi wa wanafunzi wa shule ya msingi ya Lodekejek walioibuka a washindi kwenye mashindano ya muziki wa kitaifa.