Wanafunzi kutoka St. Joseph Kitale wafunzwa kufahamu maadili ya uongozi

  • | Citizen TV
    789 views

    Vijana wa shule za msingi maeneo mengi nchini wamekuwa wakihusishwa kwa miradi mbalimbali ya kuimarisha uwezo wake kwenye uongozi. Na shule ya St Joseph Kitale pia ilijumuika kwenye mkondo huu na kuandaa mafunzo kwa vijana kuhusu uongozi la demokresia