Skip to main content
Skip to main content

Wanafunzi tisa kusalia rumande siku 21 ili uchunguzi wa moto Utumishi Academy ukamilike

  • | Citizen TV
    361 views
    Duration: 1:21
    Wanafunzi tisa wa Shule ya Upili ya Wasichana ya Utumishi wanaozuiliwa kwa madai ya kuhusika na kisa cha moto shuleni humo watasalia rumande kwa siku 21 kuruhusu maafisa wa upelelezi kukamilisha uchunguzi wao.